Makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris amekuwa akikosolewa na maafisa kwa kutoa hotuba zinazopigia debe haki za wapenzi wa jinsia moja wakati wa ziara yake ya siku tatu katika bara la Afrika ...
Wanaume sita wamekamatwa nchini Uganda kwa kujihusisha na 'mapenzi yajinsia moja', msemaji wa polisi ameliambia shirika la habari la AFP siku ya Ijumaa, siku moja baada ya Rais Yoweri Museveni ...
Kubalehe ni sehemu moja muhimu ya maisha yetu. Wakati huo mwili na akili hukumbwa na mabadiliko makubwa ya kukua kutoka utotoni kuelekea ujanani na hatimae utu uzimani. Wakati huo viungo vya uzazi ...
Nchi ya Botswana imekuwa ni taifa jingine la Afrika ambalo limeruhusu mapenzi ya jinsia moja baada ya mahakama kuu kutupilia mbali kipengele cha katiba ambacho kilikuwa kinakataza na kuadhibu hadi ...